GET /api/v0.1/hansard/entries/174361/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 174361,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/174361/?format=api",
    "text_counter": 673,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, ningependa kumshukuru sana Rais wa Marekani ambaye amechaguliwa, na ambaye ni mwenye asili ya hapa kwetu Kenya. Mtu aliyemsaidia babake kupata scholarship, marehemu Thomas Joseph Mboya, alizaliwa katika eneo langu la Ubunge. Babake alikuwa akifanya kazi ya kukata mkonge kwetu. Tuna historia kubwa sana!"
}