GET /api/v0.1/hansard/entries/174521/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 174521,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/174521/?format=api",
    "text_counter": 44,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Dr. Machage",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Roads",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Kenya inawaangilia wao na wataadhibiwa wakati ukifika wakati mwananchi atasema, huyu ni nani. Siku zote, wanyenyekevu hawana mambo mengi ya kujivunia kuliko wengine ili waonekane juu. Tunajua kwamba wengine ambao wanajiinua hapa ni wazembe ambao wameibia Wakenya mali mingi! Twajua hayo."
}