GET /api/v0.1/hansard/entries/174523/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 174523,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/174523/?format=api",
"text_counter": 46,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Machage",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Roads",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Mhe. Spika, ndio watakuwa wakwanza kusema, \"sisi ndio wa kwanza tunataka tulipe kodi hata kama sheria haijaandaliwa\". Twajua haya. Wasitukere, wasituchokoze wala wasitusonge sisi wanyenyekevu ambao tunakaa kusema kwamba kama wananchi wa Kenya wataka hivyo, kamati teule imeteuliwa na itaamua mambo hayo. Mambo yale ambayo yataamuliwa tutayafuata. Lakini wewe ukija hapa wajifanya hivyo, hata kwa hirisi hautafaulu. Ninawapongeza wote ambao wameteuliwa siku ya leo. Twawaombea dua, heri na fanaka kwa mwaka mpya mnapotekeleza kazi yenu. Ahsante."
}