GET /api/v0.1/hansard/entries/175384/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 175384,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175384/?format=api",
    "text_counter": 168,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bi. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, ni kweli kuna visima 93 vimetengenezwa katika eneo la Samburu yote; wamesema wamevichimba, lakini hawajaonyesha viko wapi. Hatujaviona! Kuna shida kubwa ya maji na sijui kama Wizara ya Maji na Unyunyizaji Wilayani Samburu ina hakika kuwa visima vinachimbwa ama vimeandikwa tu katika vitabu."
}