GET /api/v0.1/hansard/entries/175385/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 175385,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175385/?format=api",
    "text_counter": 169,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bw. Kiunjuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 175,
        "legal_name": "Festus Mwangi Kiunjuri",
        "slug": "mwangi-kiunjuri"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, ukweli wa mambo ni kuwa visima vimechimbwa. Lakini ni kweli pia kuwa havitoshi na si eneo la Samburu peke yake linalohitaji visima, bali ni Kenya nzima. Tunajitahidi lakini hatuna pesa za kutosha. Tutakavyoendelea kupata pesa kutoka kwa Serikali ndivyo tutakavyoendelea kuchimba visima. Ikiwa Mbunge ana tashwishi kwamba tunasema tumechimba visima lakini havionekani kule mashinani, basi tungependa kujua, ili tuchunguze na tutatue hilo jambo."
}