GET /api/v0.1/hansard/entries/175386/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 175386,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175386/?format=api",
    "text_counter": 170,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bi. S. Abdalla",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 380,
        "legal_name": "Shakila Abdalla",
        "slug": "shakila-abdalla"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, pengine Waziri Msaidizi angeeleza vizuri ni sehemu gani ambako mabwawa yamerekibishwa, ni sehemu gani yanakoendelea kurekibishwa; 3982 PARLIAMENTARY DEBATES December 10, 2008 pia, visima vinachimbwa wapi na vingine vinaelekea kuchimbwa wapi ndipo tufuatilie na kujua hiyo shida inatatuliwa sehemu gani na bado iko sehemu gani."
}