GET /api/v0.1/hansard/entries/175387/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 175387,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175387/?format=api",
"text_counter": 171,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bw. Kiunjuri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 175,
"legal_name": "Festus Mwangi Kiunjuri",
"slug": "mwangi-kiunjuri"
},
"content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, sijui kama nitapata nafasi ya kusoma majina ya visima vyote, lakini nina majina 14 na niwaweza kumpa ajionee. Kwa mfano, kuna Metumi Dam, Naireri Dam na Laitasin Dam. Pia kuna visima tisa ambavyo tunahitaji kuchimba, na tunaendelea kuchimba vitatu wakati huu. Nitaomba ruhusa yako nimwonyeshe hayo majina, maanake yuko ndani ya Bunge. Tukimaliza hili Swali, nitakwenda kumwonyesha majina yote, na kama ana wasiwasi yoyote, tunaendelea kumtatulia shida zake."
}