GET /api/v0.1/hansard/entries/175389/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 175389,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175389/?format=api",
"text_counter": 173,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bw. Kiunjuri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 175,
"legal_name": "Festus Mwangi Kiunjuri",
"slug": "mwangi-kiunjuri"
},
"content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, inategemea Kiswahili cha Mbunge. Hata katika Kiingereza, tunaadhiriwa na lugha zetu na tuna shida za matamshi. Hilo jambo halijawahi kinishtua wakati wowote, na hata katika siasa yangu, halijawahi kunizuia kwenda popote. Kwa hivyo, hiyo ni shida yake kwa sababu niko sawa."
}