GET /api/v0.1/hansard/entries/175390/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 175390,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175390/?format=api",
    "text_counter": 174,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bw. Letimalo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 68,
        "legal_name": "Raphael Lakalei Letimalo",
        "slug": "raphael-letimalo"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, ukiangalia mahitaji ya asilimia 70 ya wakaaji wa wilaya tatu za Samburu, ni maji. Ikiwa Waziri Msaidizi anasema kuwa katika mwaka huu wa Kiserikali atachimba mabwawa matatu katika Wilaya ya Samburu Mashariki na manne katika Samburu Kazikazini, je, hiyo asilimia 70 itasaidia watu wangapi kupata maji? Pili, anajua kwamba Ingarasa inategemea bwawa moja ambalo limeharibika sasa kwa miezi mitatu na watu wameanza kuhama kwa sababu ya ukosefu wa maji. Je, amefanya nini kuhakikisha kwamba watu hawataendelea kuteseka?"
}