GET /api/v0.1/hansard/entries/175391/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 175391,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175391/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Bw. Kiunjuri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 175,
        "legal_name": "Festus Mwangi Kiunjuri",
        "slug": "mwangi-kiunjuri"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, ni rekodi kuchimba mabwawa saba katika wilaya tatu, kwa sababu sehemu nyingi nchini hazijapata hata bwawa moja. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba hayajatosha. Tunakubaliana hivyo, lakini kulingana na tulivyogawa nchi, mabwawa tuliyoweka kule ni mengi. Ikiwa kuna bwawa lolote ambalo limeharibika, na kwa miezi mitatu watu hawajapata maji, hilo jambo halikubaliki, na nitamuuliza Mbunge aniletee hilo jina, tujue ni sehemu gani ili lirekebishwe mara moja."
}