GET /api/v0.1/hansard/entries/175393/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 175393,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175393/?format=api",
"text_counter": 177,
"type": "speech",
"speaker_name": "Bw. Kiunjuri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 175,
"legal_name": "Festus Mwangi Kiunjuri",
"slug": "mwangi-kiunjuri"
},
"content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, tutaendelea kurekebisha na ukarabati utaendelea. Jambo la muhimu ni kujiuliza ni wapi tutapata fedha zaidi. Tuna hiyo shida na tunaielewa. Pole kwa hayo lakini tutajaribu iwezekanavyo, hata kama ni mwaka ujao, kuwaomba Wabunge kutupitishia pesa za kutosha kujenga na kuendesha miradi ya maji ambayo itawasaidia wananchi."
}