GET /api/v0.1/hansard/entries/176934/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 176934,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/176934/?format=api",
    "text_counter": 110,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mrs. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "alimuuliza Waziri wa Ardhi:- (a) je, Waziri anatumia mbinu gani kuwateua wanachama wa Halmashauri ya Ardhi (yaani, Land Control Boards) kote nchini; (Mr. Rai): Bw. Spika, ninaomba kujibu. (a) Ni kweli nina jukumu la kutangaza katika Gazeti Rasmi kuchaguliwa kwa maafisa wa Land Control Boards kulingana na sheria za Kenya; Sheria No.302, Sheria za Kenya. (b) Ninakubali kwamba majina yaliyowasilishwa mnamo tarehe 2.11.2007 kutoka Tarafa ya Lorroki yalihusisha majina ya bwana na bibi yake. Majina kutoka Kirisia yalihusisha familia moja. Ningetaka kulifahamisha Bunge hili kwamba Mkuu wa Wilaya ya Samburu amefahamishwa kuhusu makosa yaliyofanyika na amepewa jukumu la kuhakikisha kwamba Kamati mpya imeteuliwa ili tuweze kuitangaza katika Gazeti Rasmi la Kenya."
}