GET /api/v0.1/hansard/entries/176935/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 176935,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/176935/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mrs. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Bw. Spika, asante kwa hilo jibu. Si jambo zuri ikiwa kamati itateuliwa kutoka kwa familia moja. Ningemuomba Waziri Msaidizi atimize jambo hilo. Hii sheria inafaa kutekelezwa mashinani ili kila Mkenya ajue ni nini kinachofanyika katika Kenya."
}