GET /api/v0.1/hansard/entries/176941/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 176941,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/176941/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Rai",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 203,
        "legal_name": "Samuel Gonzi Rai",
        "slug": "samuel-rai"
    },
    "content": "Bw. Spika, nimeeleza kwamba ni jukumu la Mkuu wa Wilaya kutoa mapendekezo katika kila tarafa kuhakikisha kwamba wale maofisa ambao nimewataja, wote watapatikana na kukutana. Kwa hivyo, wao hukaa katika ngazi za nyanjani katika tarafa zao; si hapa Nairobi."
}