GET /api/v0.1/hansard/entries/178590/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 178590,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/178590/?format=api",
    "text_counter": 350,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Jambo la Nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningependa Waziri afafanue kama ni mbolea ya kupanda mahindi, kwa sababu vile vile, kuna mbolea pia ya kunyunyiza kwenye mahindi. Ningependa pia afafanue bei, ili mkulima amakinike."
}