GET /api/v0.1/hansard/entries/185612/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 185612,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/185612/?format=api",
"text_counter": 206,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ms. Shaban",
"speaker_title": "The Minister of State for Special Programmes",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": " Asante sana Bw. Naibu Spika. Nasimama kuunga mkono Hoja hii, kwanza kwa hali ya majonzi na masikitiko sana. Nimeshangaa kuwa Wabunge Maalum wanaweza kusimama na kusema kwamba hakuna umuhimu wa kuenda kwa eneo la uwalikishi Bungeni. Ndio, hakuna umuhimu kwao kwa sababu hao hawana maeneo ya uwakilishi Bungeni. Kwa hivyo, ninaomba kuwa wasitueleze umuhimu wa kuenda kwa maeneo ya uwakilishi Bungeni. Sina dharau, lakini nasema hivyo kwa sababu ni ukweli."
}