GET /api/v0.1/hansard/entries/185684/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 185684,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/185684/?format=api",
    "text_counter": 278,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": ". Ninajua kwa kweli waheshimiwa Wabunge walichagaliwa na watu wa grassroots hasa akina mama. Yule mama anataka kumwona Mbunge wake akimtembelea kule mashinani. Kwa hivyo, mimi ninaomba tuende nyumbani ili wananchi pale grassroots wapate nafasi ya kukutana na Wabunge wao. Pia ningependa kusema kuna kilio kingi. Jana, tuliona katika Kenya Gazette kuna"
}