GET /api/v0.1/hansard/entries/185686/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 185686,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/185686/?format=api",
    "text_counter": 280,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ms. Leshomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "ambao walitolewa na wengine kuteuliwa kuchukua mahali pao. Hicho pia ni kilio kutoka Constituency zetu. Pia, inafaa turudi nyumbani kuangalia kilio cha wale waliotimuliwa. Waheshimiwa Wabunge wanatakiwa kutumia kipindi hiki cha mapumziko kutatua shida zinazowakabili madiwani waliotimuliwa kutoka nyadhifa zao. Mimi ni Nominated na ninapenda kwenda nyumbani kufanya kazi kwa sababu sitaki kurudi Bunge nikuwa nominated . Ninataka 2464 PARLIAMENTARY DEBATES August 7, 2008 kurudi nikiwa elected ! Thank you."
}