GET /api/v0.1/hansard/entries/186083/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 186083,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/186083/?format=api",
    "text_counter": 290,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Kutuny",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 61,
        "legal_name": "Joshua Serem Kutuny",
        "slug": "joshua-kutuny"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Ningependa Waziri afafanue pia kwamba jana katika eneo langu la Uakilishi Bungeni la Cherangany, zaidi ya ng'ombe 50 waliibwa. Je, ni hatua gani Serikali inachukua? Serikali itaingilia vipi msitu wa Pokot ili kuwapokonya 2380 PARLIAMENTARY DEBATE August 6, 2008 Wapokot bunduki?"
}