GET /api/v0.1/hansard/entries/18747/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 18747,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/18747/?format=api",
"text_counter": 424,
"type": "speech",
"speaker_name": "Dr. Nuh",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 114,
"legal_name": "Nuh Nassir Abdi",
"slug": "nuh-abdi"
},
"content": "Hata hivyo, sijui kama anajua maofisa wake hawaruhusiwi kuwasajili zaidi ya watu 50 kwa siku. Tunajua wananchi walikosa vitambulisho hivi kwa muda mrefu. Je, inawezekana maofisa wake kuwasajili watu zaidi ya 500 kila siku ili watu wengi wapate vitambulisho?"
}