GET /api/v0.1/hansard/entries/18875/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 18875,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/18875/?format=api",
    "text_counter": 552,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, naomba nami nichukue nafasi hii nitoe mchango wangu kwa Hoja hii ambayo imeletwa na Mhe Otichilo, na vile tulivyokubaliana na wenzangu, ingekuwa imeletwa hapo awali kwani nchi hii imekuwa nyuma kwa muda mrefu, tukiangalia ujuzi wa angani."
}