GET /api/v0.1/hansard/entries/18876/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 18876,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/18876/?format=api",
"text_counter": 553,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, si eti hatuna ujuzi wa angani lakini Serikali imezembea katika kuangalia taaluma ambazo vijana wetu wanazo. Tukiangalia vijana wetu nchini tutaona kuwa wakipewa nafasi ya kuweza kujihusisha na ujuzi na ufahamu wa angani watakuwa wanaweza kuboresha maisha yao wenyewe na maisha ya wakenya kwa ujumla."
}