GET /api/v0.1/hansard/entries/18877/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 18877,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/18877/?format=api",
"text_counter": 554,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kama ilivyosemwa na mwenzangu hapo awali, tuna kituo Malindi ambacho kinaangaliwa na Wataliano. Swala nyeti ni: Hawa Wataliano watakaa hapo kwa muda gani na makubaliano gani Wataliano walionayo na Serikali ya Kenya kwenda kuangalia na kuzunguka nchi yote nzima wakitumia mitambo yao ya anga za juu? Je, nchi yetu ya Kenya itaanza lini mikakati ya kuhakikisha kuwa hata yenyewe pia ina mitambo yake ya angani?"
}