GET /api/v0.1/hansard/entries/18880/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 18880,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/18880/?format=api",
    "text_counter": 557,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, mwisho swala nyeti ni: Ni wakati gani Serikali yetu itaamka na iamue kuwa wakati umefika tuangalie huu ujuzi wa angani tutautumia kwa namna gani? Hivi sasa Lamu na Mombasa zimekumbwa na dhoruba. Mvua imenyesha. Upepo unapiga na ni mkali. Umeingia kwa mahoteli ambayo yako ufuoni. Kwa kweli"
}