GET /api/v0.1/hansard/entries/192698/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 192698,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/192698/?format=api",
"text_counter": 167,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Kama vile wenzangu wanapendekeza tutozwe kodi, nakubaliana nao. Tukitozwa kodi, wananchi wengi watafurahi sana. Wabunge 222 wakitozwa kodi, hiyo ni Kshs800 milioni.Ningependa Waziri wa Fedha aangalie mahali ambapo tungeweza kupunguza matumizi yetu, iliwananchi wa Kenya wapate nafuu kifedha. Mambo hayo ni mengi sana. Nitaanza na"
}