GET /api/v0.1/hansard/entries/19279/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 19279,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/19279/?format=api",
"text_counter": 355,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, nimerudi kutoka Uganda. Nimesoma magazeti. Kumekuwa na wizi wa pesa kupitia mambo ya mafuta yaliyotokea huko Uganda. Lakini waliowekwa ndani ni wale waliohusika, na huwezi kusikia kabila hili likisema mtu wetu ndio amechukuliwa na mtu wa kabila fulani, au mtu wetu anaonewa."
}