GET /api/v0.1/hansard/entries/19280/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 19280,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/19280/?format=api",
"text_counter": 356,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, mimi kuitwa Otieno haimaanishi kwamba akina Otieno wote ni wezi. Mimi kuitwa Mutua ama Mutiso, haimaanishi kwamba watu wote wanaoitwa hivyo ni wezi. Lakini leo kashfa ya wizi katika ofisi za Serikali yetu, kuanzia polisi mpaka kila kitengo unakuta kwamba huyu ameiba na bado yuko serikalini. Huyu ametajwa bado yuko Serikali. Haya yametokea bado yuko serikalini. Sasa unashindwa askari ni nani na mkurugenzi ni nani. Wizi ukitokea tu tunaambiwa ni mtu wetu."
}