GET /api/v0.1/hansard/entries/19281/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 19281,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/19281/?format=api",
    "text_counter": 357,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, kama ni kweli mimi namwomba Mungu mwenyezi kuweka hukumu yake inavyowezekana. Kshs16 milioni inatumika kumtafuta mkurugenzi mmoja, na si wawili. Katika Kshs16 milioni, Kshs15 milioni zimeenda kwa wale ambao wanapata chakula ambacho hawalipii. Juzi nilienda Laisamis kwa Mhe Lekuton; nasema hapa kama thibitisho kwamba kama leo kuna watu wanataka kuona Serikali na macho, na wanahitaji kujua kwamba Kenya ni Kenya, mimi nilienda Laisamis na shida za eneo Bunge ninalowakilisha zikaisha."
}