GET /api/v0.1/hansard/entries/196979/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 196979,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/196979/?format=api",
    "text_counter": 186,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. K. Kilonzo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 172,
        "legal_name": "Julius Kiema Kilonzo",
        "slug": "kiema-kilonzo"
    },
    "content": "Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Ni haki kweli rafiki yangu, mhe. Gonzi Rai, kusema kwamba ni mara ya kwanza Mawaziri kuwekewa mnyapara na ilhali tunajua yule anayechaguliwa ni Waziri Mkuu na si mnyapara? Kama Bw. Rai hajui maana ya mnyapara yafaa aseme ili aelezwe!"
}