GET /api/v0.1/hansard/entries/196982/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 196982,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/196982/?format=api",
"text_counter": 189,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Rai",
"speaker_title": "The Member for Kinango",
"speaker": {
"id": 203,
"legal_name": "Samuel Gonzi Rai",
"slug": "samuel-rai"
},
"content": "ili mambo mengine yaweze kunawiri katika mji wa Kinango. Tumepewa wilaya, lakini hatuwezi kuistawisha wilaya ile hadi tupate vifaa vingine ili tupate kuona tofauti kati ya tarafa na wilaya. Pia, ninaomba tupewe mbegu ili tuboreshe kilimo ili tujikomboe kutokana na hali ya kutegemea kupewa chakula kila wakati. Kwa hayo machache, niniaunga mkono Hotuba ya Mheshimiwa Rais. Asante sana."
}