GET /api/v0.1/hansard/entries/197895/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 197895,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/197895/?format=api",
    "text_counter": 130,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwatela",
    "speaker_title": "The Member for Mwatate",
    "speaker": {
        "id": 103,
        "legal_name": "Andrew Calist Mwatela",
        "slug": "andrew-mwatela"
    },
    "content": " Ahsante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kutoa maoni yangu kwa lugha ya Kiswahili, lakini kwanza, ningependa kujitambulisha. Mimi ni Bw. Calist Mwatela, Mbunge wa Mwatate. Ningependa kuwashukuru wapiga kura wa Mwatate kwa kunipigia kura kwa wingi na pia kukipigia kura chama changu cha ODM."
}