GET /api/v0.1/hansard/entries/202585/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 202585,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/202585/?format=api",
    "text_counter": 308,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 253,
        "legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
        "slug": "mwandawiro-mghanga"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, wafanyikazi wa nchi hii wameteseka kwa muda mrefu sana chini ya ubepari ulioko katika nchi. Natarajia kwamba baada ya kupitisha sheria hii kutakuwepo na utekelezaji. Natarajia sheria hii itekelezwe kwa manufaa ya wafanyikazi. Sharti Wizara ya Leba na Ustawi wa Wafanyikazi iamuke ili iweze kutumikia wafanyakazi wala siyo mabepari katika nchi hii."
}