GET /api/v0.1/hansard/entries/204051/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 204051,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/204051/?format=api",
"text_counter": 399,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Ndile",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Tourism and Wildlife",
"speaker": {
"id": 272,
"legal_name": "Kalembe Richard Ndile",
"slug": "kalembe-ndile"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, pia nami ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru wale ambao wameuchangia Mswada huu. Ningependa kusema kwamba sisi upande wa Serikali ni lazima tujifunze kusikizana na kuelewana. Hilo ni jambo muhimu sana."
}