GET /api/v0.1/hansard/entries/204053/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 204053,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/204053/?format=api",
"text_counter": 401,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Ndile",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Tourism and Wildlife",
"speaker": {
"id": 272,
"legal_name": "Kalembe Richard Ndile",
"slug": "kalembe-ndile"
},
"content": "Mama akitaka wazee na watoto wasile, yeye hutia chumvi nyingi katika chakula. Yeye hukitia chakula chumvi nyingi kikiwa jikoni na kukichemsha, ndipo hata ukiiosha hiyo nyama, haiwezi kulika."
}