GET /api/v0.1/hansard/entries/204055/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 204055,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/204055/?format=api",
    "text_counter": 403,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Ndile",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Tourism and Wildlife",
    "speaker": {
        "id": 272,
        "legal_name": "Kalembe Richard Ndile",
        "slug": "kalembe-ndile"
    },
    "content": "3960 PARLIAMENTARY DEBATES September 13, 2007 Kwa hivyo ni vizuri wakati mwingine tuwe tunaelewana kabla ya kuleta Miswada hapa. Inafaa tujue vile tunavyofanya kazi, na hilo litaisaidia nchi hii, kwa sababu sitaki kuwa katika upande ambao unashindwa kila wakati katika mambo ambayo tungeshinda. Ahsante sana!"
}