GET /api/v0.1/hansard/entries/204251/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 204251,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/204251/?format=api",
    "text_counter": 175,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wario",
    "speaker_title": "The Assistant Minister, Ministry of State for Special Programmes",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": " Ahsante sana Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa fursa hii. Mwenyezi Mungu anatuambia: \"Nimewaumba kwa makabila na mataifa ili mpate kujuana. Bora kati yenu ni yule anayemheshimu na kumtii Mwenyezi Mungu zaidi.\" Ndiposa mtu anapokufa huvuliwa vazi la ukabila. Mtu hafi kama Mjaluo. Unapokufa, unakuwa maiti! Ile dakika roho yako inakatika, wewe si Mjaluo wala Mkikuyu tena. Unapokufa, wewe unaitwa maiti!"
}