GET /api/v0.1/hansard/entries/204258/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 204258,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/204258/?format=api",
    "text_counter": 182,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wario",
    "speaker_title": "The Assistant Minister, Ministry of State for Special Programmes",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, mwaka huu tutapiga kura. Serikali hii ilichukua uongozi miaka minne iliyopita lakini yeye ameileta Hoja hii hapa leo. Bw. Naibu Spika wa Muda, sitaki kuzungumza juu ya mja, lakini tutakapozungumza juu ya nafasi za kazi huku tukizingatia ni nani amepewa cheo kipi au kile, nafikiri mhe. Ojode hastahili kuileta Hoja hii. Yeye alikuwa Waziri Msaidizi katika Serikali iliyopita na hii iliyoko sasa. Hakuna siku hata moja ambapo yeye alitangaza kuwa atajiuzulu kwa sababu kuna ukabila katika Serikali hii. Yeye alijiuzulu kwa sababu headman alimwambia aondoke kazini! Kwa hivyo, ikiwa Hoja hii itapitishwa---"
}