GET /api/v0.1/hansard/entries/206573/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 206573,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/206573/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": ". Hatujakuwa na Waziri isipokuwa Waziri Msaidizi ambaye ni mtu wa mkono. Lazima tuanze kusawazisha vile tunavyopeana kazi na rasilimali ya nchi. Huwezi kuwa na wilaya kubwa kama Nakuru na iwe kwamba haijatoa balozi hata mmoja."
}