GET /api/v0.1/hansard/entries/206579/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 206579,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/206579/?format=api",
    "text_counter": 157,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Wamwere",
    "speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
    "speaker": {
        "id": 352,
        "legal_name": "Koigi Wamwere",
        "slug": "koigi-wamwere"
    },
    "content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, ni kweli Bw. Achieng'-Oneko alikuwa Waziri na alitoka Wilaya ya Nakuru. Lakini, alichaguliwa kwa misingi ya urafiki wake na hayati Rais Kenyatta. Bw. Murage, anatoka 3572 PARLIAMENTARY DEBATES August 29, 2007 Wilaya ya Kirinyaga. Yeye hatoki Nakuru. Kama angekuwa anatoka Nakuru, hangepewa hiyo kazi."
}