GET /api/v0.1/hansard/entries/206763/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 206763,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/206763/?format=api",
"text_counter": 79,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Munya",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 279,
"legal_name": "Joseph Konzolo Munyao",
"slug": "joseph-munyao"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, Serikali haijabuni wilaya yoyote bila mpango. Wilaya zote zimebuniwa kwa sababu wananchi walizihitaji. Serikali ilifanya utafiti na kuona ya kwamba kuna watu wa kutosha na tukazibuni wilaya hizi. Hakuna wilaya ambayo imebuniwa kiholela."
}