GET /api/v0.1/hansard/entries/207325/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 207325,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/207325/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, jana nilisema ya kwamba siku hizi kuna taasisi nyingi ambazo zinasimamia maji hadi hatuelewi kazi ya Wizara ya Maji na Unyunyizaji ni August 22, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 3339 nini. Je, kulingana na huu mchanganyiko wa taasisi nyingi, Wizara ya Maji na Unyunyizaji inafanya kazi gani au inarushwa hapa na pale na wafadhili?"
}