GET /api/v0.1/hansard/entries/207375/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 207375,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/207375/?format=api",
"text_counter": 168,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Ahsante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ningetaka kuchukua nafasi hii kumpongeza Bw. Angwenyi kwa kuileta Hoja hii Bungeni. Hii ni Hoja ambayo, kwa hakika, imechelewa kufika Bungeni. Hata hivyo, ni heri Hoja kuchelewa na hatimaye kufika kuliko kukosa kufika Bungeni kabisa. Ni muhimu kuwakumbuka waalimu wa malezi na wale wa shule za msingi ili waweze kupata mafunzo ya kisawasawa, kwa sababu wao ndio wanaojenga msingi wa elimu katika nchi hii."
}