GET /api/v0.1/hansard/entries/208224/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 208224,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/208224/?format=api",
    "text_counter": 212,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Rai",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 203,
        "legal_name": "Samuel Gonzi Rai",
        "slug": "samuel-rai"
    },
    "content": "Wengine kama mimi tunajua kuanguka na kufaulu. Nilikuwa hapa Bungeni mwaka wa August 16, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 3263 1992. Ilipofika 1997 nilianguka na kukaa nje miaka mitano. Mwaka wa 2003, nikarudi tena. Bw. Naibu Spika, wakati kama huu si vizuri Wabunge kuombwa kwenda nyumbani kwa sababu tumechoka. Nguvu za binadamu ajuaye mwenyewe. Hakuna aliyeingia katika mwili wa mwingine na kujua amechoka."
}