GET /api/v0.1/hansard/entries/208228/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 208228,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/208228/?format=api",
"text_counter": 216,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Rai",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 203,
"legal_name": "Samuel Gonzi Rai",
"slug": "samuel-rai"
},
"content": "Ni lazima mambo kama hayo yachunguzwe na yajaribu kuangaliwa. Bw. Naibu Spika, kitu ambacho ningetaka kugusia nikimalizia ni kwamba, ikiwa Serikali inajijua ina makosa, ina haja ya kuambia taifa hili kwamba kuna makosa fulani ambayo yanaendelea. Serikali ilikuja hapa na ikaanza kuwalipa allowances Mawaziri na Mawaziri Wasaidizi, jambo ambalo halijapitishwa na Bunge hili! Lakini, hivi sasa, wanataka kuhalalisha"
}