GET /api/v0.1/hansard/entries/208497/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 208497,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/208497/?format=api",
    "text_counter": 137,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Mukiri",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 334,
        "legal_name": "Mukiri Macharia",
        "slug": "mukiri-macharia"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, hili Swali lingependekezwa kwa Wizara ambayo inahusika na ardhi kwa sababu hawa wanasema kwamba hawajui. Nimesema kwamba mwaka uliopita, niliuliza hili Swali na nikaelezewa kwamba hatua inachukuliwa. Hivi sasa, wanasema kwamba hiyo ardhi haijanyakuliwa. Ningeomba kama hili Swali lingepelekwa kwa wizara inayofaa."
}