GET /api/v0.1/hansard/entries/208498/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 208498,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/208498/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Deputy Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Pengine hilo ni jambo la busara, Bw. Mukiri. Lakini kama hili Swali litapelekwa kwa Wizara ya Ardhi, itakuwa sharti utoe nambari ya ploti. Ikiwa utaonyesha nambari ya ploti ingeweza kusaidia Wizara. Waziri wa Ardhi hawezi kuenda kutafuta kwenye kituo cha polisi kule Molo. Lazima awe na nambari ya ploti. Unaweza kufanya hivyo?"
}