GET /api/v0.1/hansard/entries/208661/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 208661,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/208661/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Mwandawiro",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 253,
"legal_name": "Mwandawiro JD Mghanga",
"slug": "mwandawiro-mghanga"
},
"content": "Bw. Spika, karibu miji yote mikubwa ya Kenya ina chuo kikuu ndani yake ama karibu sana. Je, mji wa Mombasa umekosa kitu gani mpaka sasa hakuna chuo kikuu? Ni mpango gani ambao umefanywa kuanzisha chuo kikuu Mombasa mara moja?"
}