GET /api/v0.1/hansard/entries/209878/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 209878,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/209878/?format=api",
"text_counter": 101,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "ni Kshs9,000 peke yake. Sasa, ukiondoa Kshs9,000 kutoka Kshs53,000, unabaki na Kshs44,000. Pesa hizo zitatoka wapi? Bado zitatoka kwa mzazi. Ingekuwa bora fees yote isimamiwe na Serikali. Hiyo itawezekana iwapo ushuru huo utawekwa ndani. Hivyo basi, tutakuwa tunaweza kufidia elimu yote iweze kuwa bure. Bw. Naibu Spika wa Muda, namalizia kwa kuunga mkono. Nafikiria umefika wakati wa watu kuzika wa kwao. Ikiwa hali itaendelea hivi ilivyo sasa, haina maana sisi kubaki hapa. Ingekuwa bora iwapo Mhe. Rais Kibaki angevunja Bunge tukarudi tena huko kwa wananchi wenyewe. Manake kazi sasa inaonekana ni kama twaitaka na hatuitaki. Singetaka kutumia lile neno lingine maanake nitasimamisha shughuli hii muhimu. Lakini vile hali ilivyo, hairidhishi hata kidogo."
}