GET /api/v0.1/hansard/entries/209888/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 209888,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/209888/?format=api",
"text_counter": 111,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa niaba ya Chama Cha Mwananchi (CCM), naomba kuunga mkono Hoja hii ya kudhibiti ubinafsishaji wa mashirika ya umma. Awali kabisa ningetaka kusema kwamba tumeshuhudia ubinafsishaji wa mashamba yetu ambao mpaka sasa haujaleta faida yoyote isipokuwa kuzidisha umaskini. Kama tunataka kuyafanyia mashirika yetu ya umma, yale ambayo tumefanyia ardhi yetu, ni wazi kwamba itakuwa vigumu sana nchi yetu kufaidika kutokana na ubinafsishaji zaidi wa mashirika ya umma. August 8, 2007 PARLIAMENTARY DEBATES 3037"
}