GET /api/v0.1/hansard/entries/211175/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 211175,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/211175/?format=api",
"text_counter": 245,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mr. Wamwere",
"speaker_title": "The Assistant Minister for Information and Communications",
"speaker": {
"id": 352,
"legal_name": "Koigi Wamwere",
"slug": "koigi-wamwere"
},
"content": " Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika. Nashangaa ya kwamba Bw. Naibu Spika ameruhusu matamshi yaliyotolewa na Waziri Munyao kumaanisha ya kwamba yeyote ambaye anachukua msimamo tofauti na wake, ni mtu ambaye ana kasoro za kiakili. Nadhani hayo ni maneno yanayohitaji kuondolewa."
}